Sunday, July 18, 2010

Haya ndio madhira ya vita!!!

Pamoja na wewe kujiona mwenye uhuru na nafasi kubwa ya kuleta mabadiliko, wenzio pande za juu wanahaha wakitafuta sehemu salama ya kuendesha maisha yao. Mitutu ya bunduki, ubakaji, njaa na kila aina ya masumbufu ndio maisha yao ya kila siku.

No comments: