
Wazo Tete ni kipindi cha vijana walio katika shule za sekondari nchini kikiwa na lengo la kuwapa fursa vijana hao kutoa maoni yao kuhusu masuala mbalimbali yanayohusu maendeleo ya nchi yao kwa kuchangia mada, kubungua bongo na kuwakilisha sifa za wadau mbalimbali wa maendeleo hayo.
Kipindi hiki ni mfululizo wa mashindano baina ya shule na shule katika vpengele vikuu vitatu ambavyo ni Mjadala wa Mada, Uvaaji wa uhusika na maswali. Jumla ya wanafunzi sita kutoka kila shule watashindana katika maeneo hayo husika.
18 comments:
Naitwa Bidebuye Gumbo ,kipindi hiki ni muhimu kwa watanzania wote hivyo fanyeni hima kushirikisha vijana wa mikoani si DSM tu.
Naitwa LUGANO NGONYA wa DOM.TBC Big up kwani mnaimarisha taifa la kesho kwa kipindi hiki.
Mimi Kauthary Hassan. Naipongeza TBC1 kwa vipindi vyenye kuelimisha kwani kipindi hiki kina2pa elimu nakuelewa mambo yahusuy
Hi me Charles natokea dodoma tbc bigup kwakukilusha kipindi hikihewani nampa hi fashirida akiwa dodoma.
Naitwa chipenye wa mpanda hongeleni kwa kutoa elimu nb karibisheni na wanfunzi wa mikoani
Mimi lovenes tumaini wa a. Town njiro blk D nawapongeza sana mnaelimisha sana
NAITWA ISACK AU BABA DEBORA KIPINDI KIZURI LAKINI SAUTI HAISIKIKI INAKWARUZA INAKUA HAIJATULIA
Naitwa Mikaeli wa sinza nawafagilia TBC kwa kipindi hiki bora.
NAITWAJUDY KUTOKASONGEA NAKIPENDASANAKIPINDIHIKI KWANIKINAELIMISHA JAMIPIA ASANTENISANA.
NAITWA MNASI KIPIDI KIZURI KINA WAPA WANAFUZI KUEREWA MAMBO YA ICHI YAO
Mi ni Rich,kipindi ni kizuri na kinasaidia .
Hi.ma iz Dai Ashery wa Dom,nawapongeza sana kwa kipindi chenu cha Wazo tete,kinaelimisha
Hi.ma iz Dai Ashery wa Dom,nawapongeza sana kwa kipindi chenu cha Wazo tete,kinaelimisha
Naitwa helen agoro nipo keko. Napenda kuwapongeza waandaaji wa kipindi cha wazo tete kwani kinaleta changamoto kwa vijana na jamii nzima.
Naitwa Ally Ramadhani wa Mkolani Sec Mwanza.Hiki kipindi ni bomba sana kinaelimisha jamii kwa ujumla.Ninaipongeza sana TBC 1
Mimi naitwa Job Mwita naipongeza tbc kwa mjadala huu . TBC. ukweli na uhakika.
Am Deodatha Komba from Sangu Sec Mbeya.I like so much to listen this programme in tbc1 students may we coperate together to join in this programme thanks
Kipindi kizurh keep it up,högereni-mama bula ktk Ilala
Post a Comment