- Naitwa Mfungaty toka Mtwara, nawapongenza kwa kipindi chenu kwasababu kina2saidaia watazamaji kuyajua mambo 2siyoyajua
Naitwa JOSEPH MATONGO nawashukuru wote walianzisha WAZO TETE natoka serengeti mugumu

NAITWA NICHOLAUS BRUNO WA TABORA, HOGERA WAAZIRISHI WA KIPINDI CHA WAZO TETE KWANI TUNASIKIA VIPAJI VINGI TOKA KWA VIJANA WETU.
JOSEPH MOYO wa Tabora-Majaji na Watangazaji nawakubali mko fit ktk uendeshaji wa KIPINDI hiki.Tunawaombea cku 1 mpate uwezo wa kufika MIKOANI.
30 comments:
Mimi Cde Badiru wa kilwa masoko kipindi kizuri lakini mbona hao hao tu kila cku kuna lindi,moro na mikoa mingine mbona hamji au sio Tz.
Mimi naitwa mercy maimu...naomba niwaulize swali? Mnaruhusu shule zamsingi?
PLEASE GO THROUGH YOUR ANSWERS YOU ARE MIS LEADING THE AUDIENCE. U BETTER DONT ASK QNS WHICH YOU ARE NOT SURE OF THE ANSWER
Mimi taratibu ngere ngere nawapoza watayarishaji wakipindi cha waz0 tete
NASHAURI ILI KUONDOA UTATA BORA MASWALI YANAYOULIZWA YATOKANE NA MADA!
Naomba musahihishe Malawi ilikuwa inaitwa Nyasaland
Mimi Edmund wa kigoma napenda kuwapongeza kwa kipindi chenu.Naomba kiendelee.
naitwa erasimnsi wa mwanza nimefuraiswa na kipindi chenu,
kwa jina na twa vitusi na omba tushilikishe na sisi huku wilaya ya kyela.
harris ktk quiz wamejibu metamorphic/Geu,na ni jibu sahihi mbona mmewakosesha?
Nimefurahishwa na hiki kipindi cha wazo tete kwani kinatufunza hata sisi wa vyuo vikuu. Vuteni kamba muwafikie hata wanafunzi wa mikoani.
Nimefurahishwa na hiki kipindi cha wazo tete kwani kinatufunza hata sisi wa vyuo vikuu. Vuteni kamba muwafikie hata wanafunzi wa mikoani.
Naitwa sada sebba wa forest mbeya.wazo tete nikipindi kizuri lakini kisiwe bongo tu na mikoani zipo shule.
Naitwa Sylvanus sosthenes kipindi kinaendelea kutuweka sawa kimasomo.
Mi,EDWIN (Kagame)wa NewEra sc.Tabora sera ya Elimu ya juu ktk nchi Tz,ni mbovu.
Naitwa JOSEPH MATONGO nawashukuru wote walianzisha WAZO TETE natoka serengeti mugumu
Naitwa Abednego Benard wazo tete big up tunabenefit.
Naitwa Mfungaty toka Mtwara, nawapongenza kwa kipindi chenu kwasababu kina2saidaia watazamaji kuyajua mambo 2siyoyajua .
MWANAFUNZI SALUM KATUMIA MANENO MENGI YA LUGHA YA KIHNGEREZA NAONA MAJAJI HILO HAWAKULIGUSIA.
Naitwa,shadida,sued.toka.Bukoba.Wanafunzi,wanaoshiriki,wamenifurahisha,kwakujiamini.Wamenifurahisha.Sana
Naitwa mama Bady wa makangarawe Dar nawapongeza Tbc kwa kipindi hiki kitawasaidia w/funzi kuibua vipaji na kuwajenga ki taaluma
Naitwa Elison Rutambuka nawapongeza sana majaji kwa kuwapamsingi mzuri wa kujieleza kwani wanafunzi wengi wanashindwa kujieleza.mi niko Shy.
Mimi naitwa Rehema Akwilombe naomba mtutembelee ARUSHA.
NAITWA NICHOLAUS BRUNO WA TABORA, HOGERA WAAZIRISHI WA KIPINDI CHA WAZO TETE KWANI TUNASIKIA VIPAJI VINGI TOKA KWA VIJANA WETU.
mimi flora ,maada ya leo imenifurahisha zaidi , endeleeni kuelimisha jamii kupitia wazo tete .
Wazo la leo naomba muwe mnatembelea shule za mikoani pia zishiriki kwenye mijadala mbalimbali am sara from dom
Naitwa side gulf wamjengoni dodoma kipindi kiende nashule zamsingi BGP TBC
Naitwa boka nipo moshi pasua nawapongeza waandaaji wa kipindi hiki cha wazo tete.
Mi mwl julius toka magu napendekeza kipindi hiki kiwe kinashirikisha wanafunzi toka mikoani ili kuwapa nafasi nao.
MI NAPEGWA ARUSHA NAKIPONGEZA KIPINDI CHA KUPEANA CHANGAMOTO KATIKA KIPINDI HICHO
Post a Comment