Kumekuwepo na migomo mfululizo katika vyou vikuu hapa nchini, hasa vyuo vikuu vya umma. Maadili ya wanafunzi na hoja zao kuu ni kupinga sera ya uchangiaji, ambapo wanaitaka serikali igharimie asilimia kwa mia za malipo ya wanafunzi wote wanaoingia vyuo vikuu, badala ya kutaka familia zao zichangie kiasi fulani toka aslimia ishirini mpaka sitini kadri Bodi ya mikopo inavyotumia vigezo vyake kuona kila mwanafunzi anaweza akachangia kiasi fulani kulingna na uwezo wake.

Mada ya Wiki hii: "Sera ya Uchangiaji wa Elimu ya Juu haiendani na hali halisi ya maisha ya mtanzania." Kwa upande wa Wahusika wa Balloon: Kambangwa itawakilisha "Mchumi" wakati wapinzani wao Aaron Harris watamuwakilisha "Mvuvi."
95 comments:
My name iz taiyah am at dodoma an i realy enjoy ur show kip it up thanx
kipindi hiki cha wazo tete kinafundisha sana lakini muda hautoshi
naitwa kass nipo mwanza naomba mutukumbuke na sisi
Naitwa Ben wa Mwanza na wapongeza kwa kipindi chenu kizuri kinacho elimisha. Big up centry valley sec school
Naitwa Babu wa mbeya naomba hicho kipindi kifike hadi mikoa mingine
Naitwa pendo wa tegeta nawapongeza sana kipindi hiki
Naitwa Hatibu lwimbo wa St. aggrey sec mbeya naomba wahusika wa wazo tete mfike mikoani
Nawasihi hao wadogo zangu waache uoga wa kuficha ficha mambo kwani wanasaidia umma kujua baadhi ya mambo wanayojadili its me kapufi bertha
naitwa xavier.. kipindi chenu kizuri kwani kinaelimisha sana ila mbona mikoa mingine mmeisahau
Oya madogo pindi lenu zuri lakini mnaboa sana acheni kubaguana ki hivyo jaribuni kushirikisha na mikoa mingine itakuwa poa mingine itakuwa poa Mimi Zilpa wa Dar es salaam
mimi rose wa bukoba na swali hamji mikoani?
serikali haingalii na pia inapendelea inasaidia wale watu wenye uwezondiyo wanao pewa mkopo, eti sio kupendelea huko? Ni mimi Vaileti natoka shule ya Inaboishu asanteni sana wanafunzi wenzangu
sms +255714143737, email: wazotete@tbcorp.org, weblog - wazotete.blogspot.com
Naitwa paskalia wadar namuungamkono kakaphlenki kwahojayake
Ziondolewe sokoni nyavu zisizostahili na wakagaguzi wa ubora wa viwango watekeleze majukumu yao kuliko kumsubiri mvuvi ziwani au baharini.
Sinabudi Kuwapa pongezi washiriki na waanzìlishi wa wazo tete!Tufanyaje il tushiriki maana naona Tosamaganga secondary ushindi tungestahili
Nawapongeza TBC kwa mada nzur na inatuhusu wanafunz na wazaz wa wanavyuo vku.naitwa SOMI wa moshi
Nawapongeza TBC kwa mada nzur na inatuhusu wanafunz na wazaz wa wanavyuo vku.naitwa SOMI wa moshi
NAWAPOGEZA TBC KUANDAA KPND HIKI KWANI KINAELIMISHA NA KINAWAJENGA VIJANA PIA KINAWAPA UWEZO WA KUJIAMINI WAWAPO JUKWAANI.MAMA JOVIN MUSOMA
Naitwa Riziki Ntalula wa shinyanga majaji big up
hengeleni waanzilish wa wazo tete kwani kinapelekea mwanafunzi kujiamini ktk shughuli zote za maisha yake kwa baadaye
Kipindi ni kizuri kinafundisha na wale wasio weza kujieleza wakaweza Anna deury parakuyo
Naitwa TINOHLUX MUKULASY wa Mpwapwa TTC ninafurahi sana kuona kipindi hiki kwani kinaelimisha jamii pia majaji wanafaa
NAITWA BASHIRU KAUCHUMBE WA RUANGWA NAPENDA HUYO MCHUMI JINSI ANVYOTOA MADA ZAKE ANA POINT SAFI SANA ANAJIAMINI
naitwa florah kanuth wa mwanza nawapongeza tbc kwa kuandaa kipindi hiki cha wazo tete kwasababu kinaleta changamoto kwa wanafunzi
Mwanauchumi huyo anajua kujieleza,anajthdi sana na amepangilia na mifano,doryne wa MSH
Kipindi nikizuri sana. rakini tunahitaji. matawi. nchinzima. Naitwa. Abdarah. Ktk. Tbr
Majaji kuweni makini.Msifanye upendeleo.Naitwa Ngalichiwa wa Mwanza.
Majaji hongereni kwa uamuzi wenu bora ..mimi mwi.. Mavura wa same.
Naitwa elly from dsm.i would lyk 2 support tha issue of equality of human rights
MIMI NAITWA HADIJA WA KIMANZICHANA WAPENI USHINDI WATOTO.
Naitwa thomas, Ujamaa na kujitegemea kwa dunia ya utandawazi ni ndoto za mchana!
nashukuru tbc jina gaddaf kutoka tanga ujamaa mzuri ktk nchii unalinda masilahi nchi
NAITWA TPENDO ELIAMANI MIMININACHOSEMAWANAFUNZI WANAJITAIDI NAWAENDELEKUSONGAMBELE TBC,WAWA
huyu kijana alievaa kibagarashia... ajajianda anaongea laki hajui aongeacho!!! naomba washrki wajiandae vya kutosha!! ni mimi kidawa wa lindi.
NAITWA DR KIGERI MAJAJI MUWEMAKINI
NAWAPONGEZA TBC1 NAELIMISHA,WAHUSISHENI SHULE ZA MSINGI,ASHA TEGETA
Mie naitwa mama David nipo Mbeya kipindi hiki ni bomba sana.mnaonaje mkija na huku Mbeya.sera ujamaa kwa tanzania inatudumaza sana.TBC1 HONGERA
Nàitwajanewa.àrushanilikuwanaombamtutembele
Jamani mbona mnabagua baadhi ya Shule?nilikua nashauri kufanya uwiano ktk kuita shule
MI NAITWA PROJESTUS NIPO BUKOBA MWANA UCHUMI YUKO JUU NIPO BUYEKERA.
Naitwa Tafutael Makundi napenda kipindi kinaelimisha pia kinawapa moyo wanangu kusoma
kipindi kizuri, lakni unapotoa mfano si vizuri kutamka jina la mtu. ALLY WA MAGU,
NAITWA SIRAJI A. MATONDANE WA BUKOBA NAWASHUKURU TBC KWA KUANDAA KIPINDI HIKI KWANI HATA ALIYEKO NYUMBANI ANAELIMIKA.
Naitwa Jacqueline toka Rock city nawapongeza sana waanzilishi,waandaaji na wahusika wote wakipindi cha wazo tete hongereni sana kwani mmepiga hatua!
Naitwa Francis Matabala wa Mbeya,nimefurahishwa sana na uwepo wa kipindi cha Wazo tete maana hata ss tulio mikoani tunajifunza mengi kupitia wao.
Naitwa Athman KAWAGA .naomba mshirikishe na mikoa mingine.
Naitwa anna wa arusha naomba hao wanafunzi wachangie mada vizuri kwani wanatoka nje ya mada wanayoiongelea walimu wao wawafundishe nini maana ya debate.
naitwa Flora wa zanaki sec kipindi ni kizuri mada ni nzuri ila basi serikali wazifanyie kazi.
naitawa tabby wa dodoma,nawapongeza sana waandaaji wa kipindi cha wazo tete,kinaelimisha,zaidi sana kwetu vjana tunaoathirika kwa kiasi kikubwa na utandawazi.
Tunawashukuru TBC1 kwa kipindi hiki hicho kizuri.Kinaelemisha.NSUMBA wa Dar.
Naitw eliza Manyanga,from Tanga.nawapongeza tbc kwa kipindi hiki kwani kina elimisha jamii.
Me naitwa rukia niko arusha nakubaliana na wazo tete lakini vipi kipindi kinakuwa dar 2 arusha hamfiki,arusha 2naweza na 2napenda mje
Naitwa syon,naomba kungekuwa na mda wa ziada ambao ungeruhusu watazamaj kupga cm na kutoa mawazo yao...au vp!
Kuna mpango wowote wa wazo tete kufika mikoani au ni hapo dsm?
kipindi hiki kinasaidia kuona jinsi vijana walivyo na uwezo wa kuongoza nchi hii--mama Jesca Mtwara
Ni mtoto wa mzee mkorofi,hiki ni kipindi kizuri lakini mngefanya tanzania visiwani kama vile Zanzibar .mwaaa...
Naitwa Rahma,kwelikabisa kipindikinzuri,sotetupokwenyeluninga tunapataladhatofati.
Naitwa ERASTUS,kila jambo ni taaluma hivyo tukubaliane kwamba mwanauchumi anamwitaji mvuvi na mvuvi anamwitaji mwanauchumi katika kukuza uchumi wa taifa letu.
Naitwa hassani jafali. nimependasana kipindi hicho cha wazo tete
Naitwa joel wa mwanza, sera ya ujamaa kwa sasa haifai, watanzania hawatafanya kazi kwa bidii, tutategemeana sana, uvivu utakithiri.
Naitwa mtesigwa wazo langu ktk wazo tete nkutaka nyinyi wausika mweze kutembelea mikoa yote ili mpate watu wenye vipaji.
swali kwa mchumi je anguko la uchumi kidunia la sasa limaitwaje?
Hi mi LULU SANGA wa kbh mada zenu ni zaukweli baadhi kamahuy
Mada zenu ni nzuri ninawashauri mfike na mikoani ili mashule ya mikoani yaweze kufaidi na kutoa mada zao mama Anna Mwanza
Naitwa mahmudy amlan wa mbeya nashauri kuwa kuwe na ushirikiano kwa wanafunzi wa majumbani mbeya.
Naitwa tomm baye nipo mwanza kipindi hicho kiwashirikishe hata shule nazamikoan.
Naitwa Lizy,natoa pongezi kubwa kwa waandaaji wa kipindi hicho ila naomba wanafunzi wasivae kofia
Habari TBC kipindi ni kizuri ila washiriki hawana msisimko jaribuni kuchukua shule nyingine kama INTERNATIONAL SCHOOLS. Mimi Sarah Mwanyika wa Kimara .
Mmejitahidi sana kuleta mabadiliko.
Ingawa bado hamjafikia hadhi ya juu, ila hongereni sana.
mi naitwa jamila wa dom maombi yangu tembeeni hadi mikoa mingine .
Kwakweli kwa sasa 2ngeangalia ni kipi kinaweza kuinua uchumi wetu na kuusaidia usiporomoke,hayo maswala ya ujamaa yawe 2 yana2pa mwelekeo!MABWI 4rm Tass
NAITWA ATHANAS MUNISHI WA DAR. NAWASHUKURU TBC 1 KWA KUANDA KIPINDI HIKI ,KINATUELIMISHA.
Mwanauchumi amejitahidi sana kuliko mvuvi.
Micky
Da! Amechemka kwel uyo miwan.Mana anasema watizamaj atujui uchumi! Yeye ni mdogo sanaaelew anachosema
HI TBC KIPINDI NI KIZURI SANA MAJAJI MNAFANYA VIZURI SANA NA WANAFUNZI WAKO FEET KARIBUNI MBEYA SHULE NYINGI SANA NAITWA MIRIAM NIPO MBEYA.
Mimi Eunice wa Arusha kwa mrefu nilikuwa nashauri kwamba waongezwe washiri wa mikoa mbalimbali! Ili pia wanafunzi wa mikoani tushiriki
Naitwa NASWIRU ISSA SHAABAN.MNAHEKIMISHA MNAELIMISHA NA KUADILISHA.HATAHUKUJIJINI MWANZA MTUKUMBUKE.HEWALAA .
Kwa jina ninaitwa shukuru Simba kipindi hiki nikizuri sana na kinafundisha.
Wazo tete mbona hamfiki Sumbawanga? Schola.
Hi naitwa Glory np Moshi napenda sana hiki kipindi kwani kinapanua mawazo ya wanafunzi
Naitwa faith kessy,kipindi cha wazo tete ni kizuri na wachangiaji wanajiandaa vilivyo
Naitwa kelvin mbuya nashauri wazo tete ijaribu kutembelea mkoa wa kilimanjaro
Naitwa doro naomba kipindi cha wazo tete kitufikie huku kibaha
KIPINDI KIZURI LAKINI TUNAOMBA MTEMBELEE NA MIKOANI PIA KUNA SHULE ZA SEKONDARI! MWL MOSES CHALANGE WA MOROGORO
Naitwa cecy kibada kutoka arusha! Nakipenda sana kipindi cha wazo tete! Siyo siri kipo juu!
naitwa seif kutoka tanga nauliza hivi ni lini kipindi cha wazo tete kitakuja mikoani?
Wazo tete linaelimisha.lakin mimi naomba mfike na huku mwanza mbona ni dar tu.jesca wa mwanza.
Naitwa Violeth wa mpwapwa..!!! hongera..,tbc kwa kipindi chenu kizuri ila tunaomba mtembelee na shule za mikoani.,
Kipindi ni kizuri ila jaribuni na kuzungumzia mateso na manyanyaso ya mwanafunzi ni mimi kifimbo nikiwa mbezi high
Si rahc kwa mtoto wa mkulima kujitegemea hvy kwani ukichangia laki 7 nawe unapewa 1.2m je laki 5 itatosha mwaka mzima kwa kila ki2 si rahc
High studio naitwa Mgaza Abeid nipo muheza .Ningependa kipindi kiwe cha kingeza.
High studio naitwa Mgaza Abeid nipo muheza .Ningependa kipindi kiwe cha kingeza.
Wanafunzi wanao shiriki katika wazo tete,bado kuna shida ya kutojiamini,na hii ni kwasababu hukarilishwa hoja wanazo changia,Yusuph Mathia,Nyamanoro sec mwanza
KIPINDI KIZURI MADA NZURI ISIPOKUWA SHULE BADO NAZIONA ZILE ZILE WHY?
JINA:DAREDANNY
Post a Comment