Friday, March 6, 2009

Mpambano unaofuata: Al-Muntazir Islamic Seminary v/s Jordan Secondary School

Mada: "Demokrasia ya siasa ya vyama vingi barani Afrika haiwezi kumsaidia mwananchi wa kawaida"
Usikose ni Tarehe - 15 March 2009, Jumapili saa 10.05 jioni katika luninga yako uipendayo ya TBC -1 "Ukweli na Uhakika".

11 comments:

Anonymous said...

BARNABAS SOKONI 0F FFU DODOMA.NOW DAYS MANY STUDENTS THEY NOT FOLLOW UP VARIOUS EVENT OCCUR THUS WHY FAIL 2 ANSWER QUIZ QUESTION.THEY NEED 2 OPEN MIND 4 MANY.

Anonymous said...

Kipindi chenu cha Wazo Tete cha kushindanisha kati ya shule na shule ni kizur naomba kije mpaka mikoani isiwe kwa shule za Dar ahksante.

Anonymous said...

WAZOTETE! Ni kipindi kizuri ila inaonekana kuwa vijana wetu hawapo connected to local,global and political issues hivyo wajitahidi kubadilika. BRAVO WAZOTETE.

Anonymous said...

Mimi naitwa Damas Mwamasika kutoka Capital Teachers College Dodoma nawapongeza sana waandaaji wa kipindi cha wazo tete kwani kina elimisha jami

Anonymous said...

Hongera Tbc kwa vipindi vinavyoelimisha jamii.Mwl.Shamte,S/M Mlimani-Mtwara.

Anonymous said...

NAITWA JOSEPH JOHN nawapongeza kwa kipindi hiki kwani kinatupa changamoto vijana KUTOKA NZEGA TABORA

Anonymous said...

NAITWA JULIUS J MALLYA WA DOM BAR YA" 9" NAWAPONGESA SANA TBC 1 KWA KUASHISHA WAZO TETE.

Anonymous said...

Naitwa mw. Thomas peter niko Nyashimo sm magu mwanza ninapenda kuwashukuru T B C I kwa kipindi cha wazo tete

Anonymous said...

mimi abel wa don gobesh na ipongez a tbc 1 kwa kueli misha watanzani a asanteni.

Anonymous said...

Naitwa Happiness Msele wa Shinyanga.nawapongeza wanafunzi wote na waandaaji wa kipindi.TBC mko juu...tena sana!!!

Anonymous said...

NAITWA ADAM WA DOM WANAWAKE WANAWEZA WAPUNGUZE UTEGEMEZI