Saturday, April 18, 2009

Jangwani katika mnato wa wazotete...

Wanafunzi wa shule ya sekondari ya Jangwani ndani ya wazotete "Mnato" wakiwa katika pozi mbalimbali baada ya kushiriki kipindi hiki cha wazotete. Usikose wiki hii, Jumapili saa 10.05 palepale TBC1

No comments: