
Mambo vipi vijana wenzetu, kama kawaida blog hii inakupa nafasi ya kujua kinachoendelea ndani ya kipindi cha wazo tete na leo tunataka kuitambulisha mada yetu ya wiki hii ambayo itawaleta kilingoni wanafunzi kutoka Pugu sekondari na Cornelius.
Na mada yetu inasema: "Wakati tukielekea uchaguzi mkuu wa madiwani, wabunge na Rais nchini Tanzania, Je imefikia wakati sasa tuwe na Rais mwanamke?"
Kwa upande wa Ballon: Pugu watakawakilisha mhusika "Mwanasiasa" wakati wenzao wa Cornelius watawakilisha mhusika "Mpiga Kura". Ni Jumapili hii katika luninga yako uipendayo ya TBC-1 pekee, ukweli na uhakika.
22 comments:
ELIMU SI KIGEZO CHA KUONGOZA NCHI
Damn hao Cornelius wapo juu kinoma big up wazo tete ipo juu..ni charz from dirty south dawg
Naitwa temba wa mbezi naomba tushirikishwe wanafunzi wa mikoani tulio likiz
Am tangaboy 4rm dsm, bado hatujafikia kumpa uraisi mwanamke, wanawake bado wako nyuma kisiasa, tusikurupuke jaman,
Naitwa loveness lyakundi nawapa pongezi kwa kipindi chenu kizuri.
Tsup studio ma name iz grace 4rom Dzm i would lyk 2 congrant ol participant
Wazo tete ni kipindi kzr bg up am umm-kurthum f6 znz.
Hi,milka frm dom sec kipindi kimekuwa na mda mfupi halaf pia na mikoan pia washindanishe pia sio dar2
Naitwa Princess,pugu hawana point.
Naitwa Eva Mundeba niko Musoma imefika wakati kwa akina mama kushika madaraka.
Naitwa subira Ali kutoka Dar.nawapongeza waandaaji wa kipindi hi.ila wamesahau kama watazamaji wamo na watu wenye mahtaji maalum.VIZIWI
Marekebisho wa ILONGA,Mwanamke bado kabisa kuwa RAIS!
Grace Njiwe,Tanzania inahitaji raisi mwenye upeo mkubwa, maono mazuri na asiye fisadi..hajilishi jinsia yake.
NAITWA MILEN DAVIS WA MARSH ACADEMY BRAVO WAANDAAJI WA KIPINDI KINAELIMISHA
NAITWA MR.TENDEWA.HIKI KIPINDI KINAELIMISHA NA KUWAPA WANAFUNZI UWEZO WA KUJIELEZA
NAITWA NYANGETA NAWAPONGEZA STUDIO KWA KUANDAA KIPINDI HIKI NAWAPA BIG UP MADENT WOTE WANAOCHANGIA MADA
Naitwa mwl. Makono wa Nzega. Kwa wanawake kuwa Rais ni sawa na wanajiamini sana, lakini muda wao muafaka ni 2015 na kuendelea.
KATIBA HAIBAGUI MWANAMKE WALA MWANAUME NA HAWAZUIWI KUGOMBEA TATIZO HAWAJIAMINI.TOKA BAGAMOYO
Naitwa Ayoub zayumba napatikana Arush maeneo ya sakina nawap pongez kwa waandaaji kipindi hiki pamoja na wabondei wote wa kicheba kwalubuye
NAITWA JOHN SWALA LA RAIS MWANAMKE NDOTO LABDA AWE MKE WANGU
Naitwa kelvin toka dar.mwanamke si lolote kwn hata familia hawez kuongoza.
HABARI ZA JUMAPILI''NI KIJANA NINAYEPENDA KUSHIRIKI KATIKA WAZO TETE NIMEMALIZA KIDATO CHA SITA 20-2-2009,naitwa JOHN
Post a Comment