
Kulia ni baadhi ya wanafunzi wa shule ya Sekondari Green Acres. =>

<= Wanafunzi wa shule ya sekondari Green Acres ya Mbezi Beach wakipoza kwa picha baada ya kumaliza kurekodi kipindi cha wazotete katika ukumbi wa British Council. Kwa matokeo ya mpambano huo angalia TBC1 siku ya jumapili saa 10.05 jioni.
No comments:
Post a Comment